Asante mkuu,Jaman ishu kama hizi muulize hukohuko hospitali face to face na daktari wake,mimba siyo kitu cha kuzembeazembea oohoooo shauri zenu
Thx. tunajitahidi sana apumzike. vipi kuhusu mtoto kuchezea chini? una uelewa wowote?afate ushauri wa daktari! apumzike kabisa..muda mwingi atumie kulala ili kufanya mwili na maumbile yake kurudia hali ya kawaida! au kurefusha hyo cervix! APUMZIKE ASIFANYE CHOCHOTE KWA MUDA HUU ULIOBAKIA
From your writing sequency,i conclude you are the one and not mudogo yako.Pole.Habari za saa hizi
Mdogo wangu anaujauzito wa miezi 6 sasa ie 25 wks. Mwez huu mwanzoni alicheck kwa utra sound kila kitu kilikuwa sawa na cervix yake ilikuwa 5.1 cm.. after two weeks akatokwa na maji tukampeleka hospital then akaambiwa njia imefunga ila ana cervical shorten to 1.2 cm na kuna threaten abortion akapewa dawa anatumia, na kaambiwa apumzike asisimame mda mrf.
Kitu kingn mtoto anachezea chini kabisa ya tumbo na anaogopa sana lbda mtoto ndio anatoka,, je kuchezea chini sana kuna madhara gan kulinganisha na ilo tatizo lake ka cervix?? na je iyo cervic inaweza kuwa lengthen??
Msaada pls
I dont know but hopefuly you are nearly to have an end to such problem.y shud i lie?
kwa hyo miez sita mtoto hatakiwi kuchezea chini sana..maana muda huo mtoto anakuwa bado hajafikia kuzaliwa kwa ile miez 9 ya kawaida.Kwa maelezo ya dr njia imefunguka kwa maana hyo basi mtoto yuko tayari kutoka japo muda haujafika...kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto pre~mature....Tiba muhimu kwa sasa,tunahitaji mama mjamzito APUMZIKE VYA KUTOSHA ili angalau mimba ifike miez sabaThx. tunajitahidi sana apumzike. vipi kuhusu mtoto kuchezea chini? una uelewa wowote?
Habari za saa hizi
Mdogo wangu anaujauzito wa miezi 6 sasa ie 25 wks. Mwez huu mwanzoni alicheck kwa utra sound kila kitu kilikuwa sawa na cervix yake ilikuwa 5.1 cm.. after two weeks akatokwa na maji tukampeleka hospital then akaambiwa njia imefunga ila ana cervical shorten to 1.2 cm na kuna threaten abortion akapewa dawa anatumia, na kaambiwa apumzike asisimame mda mrf.
Kitu kingn mtoto anachezea chini kabisa ya tumbo na anaogopa sana lbda mtoto ndio anatoka,, je kuchezea chini sana kuna madhara gan kulinganisha na ilo tatizo lake ka cervix?? na je iyo cervic inaweza kuwa lengthen??
Msaada pls
ok thx..kwa hyo miez sita mtoto hatakiwi kuchezea chini sana..maana muda huo mtoto anakuwa bado hajafikia kuzaliwa kwa ile miez 9 ya kawaida.Kwa maelezo ya dr njia imefunguka kwa maana hyo basi mtoto yuko tayari kutoka japo muda haujafika...kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto pre~mature....Tiba muhimu kwa sasa,tunahitaji mama mjamzito APUMZIKE VYA KUTOSHA ili angalau mimba ifike miez saba
But am available for making EAC combination[emoji23] pm is allowed.ur funny. thank you.. [emoji2]
I prefer present and future than past events..[emoji6] pm matter..
have you ever seen USS result?
Mmmh...Nshapata jibu..
Asante mkuuMie si mtaalamu wa mambo ya cervix, ila mdogo wako anatakiwa apewe bed rest 24/7 asifanye shughuli yoyote ile mpaka ajifungue. Yeye na kitanda, kitanda na yeye ili kumnusuru yeye na kiumbe mtarajiwa. Madaktari wengine huamua kumlaza mama mtarajiwa muda wote uliobakia ili kupunguza purukushani za nyumbani hivyo kuhakikisha yuko kitandani kwa muda wote anaotakiwa awe kitandani.