Short course gani ya ICT, yenye uwanja mpana kwenye kujiajiri?

Short course gani ya ICT, yenye uwanja mpana kwenye kujiajiri?

Geok

Senior Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
164
Reaction score
420
Wadau habarini!!!

Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti zangu binafsi kwa vyuo wanavyotoa hizi short course, na nime-decide nipige ATC coz nipo chuga kwa sasa. But ukakasi naupata kwenye kufanya chaguzi sahihi la short course ya kusoma ambayo ina impact kubwa kwenye hii teknolojia ya sasa inayokua. Hivyo nahitaji maoni yenu wadau ambao mpo kwa hii department ya ICT na wadau wote mnaoielewa sana hii ICT.

Short course zilizopo ATC ni hizi:👇
 

Attachments

  • Screenshot_20241208-115837~2.jpg
    Screenshot_20241208-115837~2.jpg
    74 KB · Views: 12
Back
Top Bottom