Josephat Peter ,thats a brilliant idea,ila ingependeza zaidi watu wakijua taarifa za anayefundisha hizo courses,ni mwalimu wa UDOM,mwanafunzi wa UDOM au ni random person anatumia ukumbi wa UDOM?*je huyu muelimishaji ana kiwango gani cha elimu?*je vyeti vitakavyotolewa,vitatolewa vikiwa na seal ya UDOM,signed by who?