Mimi na wife tumechanjwa chanjo ya corona na tumepata red eyesKwa haraka haraka nimechunguza na kuona in my locality, waliochanjwa Covid 19 vaccine hawajambukizwa red eyes disease ambayo sasa of course ina subside or going away altogether!
Na Nyumbani kwangu wote ambao hawakuchanjwa wameambukizwa red eyes and vice versa!
Swali: Tunaweza kuhusisha chanjo ya covid 19 kuwa na cross-reacting antibodies against red eyes infection taking into consideration that the two are virus-associated infections? AU ni coincidence tu of my observation?
Red eyes ni uchafu, watu wakiwa wasafi haaawezinpata red eyes, tuwe na tabia ya kunawa mikono kabla ya kushika nyuso zetu au macho yetuKwa haraka haraka nimechunguza na kuona in my locality, waliochanjwa Covid 19 vaccine hawajambukizwa red eyes disease ambayo sasa of course ina subside or going away altogether!
Na Nyumbani kwangu wote ambao hawakuchanjwa wameambukizwa red eyes and vice versa!
Swali: Tunaweza kuhusisha chanjo ya covid 19 kuwa na cross-reacting antibodies against red eyes infection taking into consideration that the two are virus-associated infections? AU ni coincidence tu of my observation?
Vitakasa mikono tena? Vitakasa mikono ni kuua infectious agents....si uchafu per se...Red eyes ni uchafu, watu wakiwa wasafi haaawezinpata red eyes, tuwe na tabia ya kunawa mikono kabla ya kushika nyuso zetu au macho yetu
Tutumie vitakasa mikono kila mara na tuzingatie kanuni za afya, tuepuke kushikana mikono
Asante mleta mada, mimi nimechanja ila sitopata red eyes kijinga
Soma post yangu vizuri! Sorry, it seems you are not a science oriented thinker....you can not say uongo in a confirmation tone. You make some reservation as a science oriented thinker! Kuna some exceptions in every hypothesis in science....... Think on those lines. Sijasema in a cofirmatory tone kuwa kuna linkage.... Nimesema...may be ....Sijachanjwa na sijaugua hiyo research yako ya uongo nenda katafute chanjo nyingine ya red eyes