Short Story: Kibwego Mtaka Vitu

Short Story: Kibwego Mtaka Vitu

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Hii ni story fupi ambayo imeombwa na bwana Gily imfikie Leejay49 pia ipite kwa hawa vijana kama mashahidi Johnnie Walker na mshamba_hachekwi

Stay tuned namaliza verse niachie ngoma comment nikumention 🤪 nikishusha

____________

Basi hapo zamani za kale katika kijiji cha Sitaoga, kulikuwa na binti mmoja aliitwa LeeJay Alizaliwa katika familia ya kimasikini sana. Baada ya siku kusonga sana, kijiji kilipata ugeni wa vijana wawili mmoja akiitwa Gily na mwingine Half.

Vijana hawa walikuwa ni marafiki na walikuja kusaka frusa za kibiashara katika kijiji hiko.

Zilipita miezi minane ambapo wale vijana mmoja alifungua duka na yule Half alifanya biashara ya upanguzi, biashara ya half ilifanikiwa sana na kuwa na pesa. Muonekano wa halfu ulikuwa bomba kuzidi ule wa Gily.

Maisha yalikwenda mpaka pale siku ambayo kwenye kijiji aliingia kijana mmoja mtanashati jina lake Mtakatifu, huyu kijana alikuwa hana mambo mengi kozi alikuwa mda mwingi yupo na pc yake, kiumri ni mdogo sana kuzidi hao kina Gily na Half.

Maisha yalienda na wale vijana wakawa marafiki siku moja wakasema twende tukapate ulabu, one and two tulifika kwenye kibanda umiza cha akina leejay49.

Tuliagiza Gongo ambapo wanywaji walikuwa Gily na Half huyu Mtakatifu hakuwa mambo yake kabisa, Halfu yeye alikuwa na pigo za kubana pua sana, Gily pigo za uchagani mixer kubana pesa saaana, tajiri hapo alikuwa half maana ndiye aliyelipa bill ya kuchoma maini.

Gily: Oya Mtakatifu uneona mtoto huyo
Mtakatifu: Mkuu huyu mtoto balaaa unaweza mwaga ubongo kunako 6 kwa 6.

Half: Tafuteni pesa mbwa nyingi
Gily: Sema nini baridi Leejay njoo hapa bill juu yangu
Leejay: Oh ahsante sana
Kweli kiburudisho kilifuata kwa watu kunywa kusaza sana mpaka jicho halifunguki, kwakua Mtakatifu hakunywa akawa anampapasa bidada kuwa anataka show show
Leejay: Unashingapi?

Mtakatifu: Nina upendo na uvumilivu
Leejay: Kiazi wewe bora ungenidanganya unafanya kazi bank
Mtakatifu: Basi nibless dogo lako
Leejay: kwendraaaa nataka matajiri kwenye ukoo kwamza nina wadogo wa kiume tu

Mtakatifu: Anajiwazia(hii kenge inajiona sana kumbe tu mboga ya jamii na kwao maisha duni chumba kimoja dada na kaka)

Baadhi ya vijana waliketa ndimu a mdudu ili pombe iwatoke kina Gily na Half baada ya hao wazee kupata hauweni Gily akaanza kutest zari kwa bibiye leejay

Gily: Nakupenda sana nauwalaza na ni muuza duka hutasumbuka kwa vichumvi na ndimu za unga
Leejay: Khaaaaaaaaaaaa unanichukuliaje bora hata ungesema unamiliki kiwanda cha moxtra
Gily: Mrembow mm nandoto na mipango ikitimia hutajuta pia nina mke nimemtelekeza mjini nimekuja kusaka pesa ninamtumiaga tu visenti
Leejay: Kwaiyo unataka kuja kunifia
Half: Bibiye achana na wasindikizaji njoo kwa sisi wenye misafara( akiongea kama dr kumbuka kwa sauti ya chid benz)

Leejay: kweliii stweetieeeeee
Half: Ndio mimi nilinunua kuzimu yote nikaifanya shamba shetani mpangaji tu pale, namiliki kiwanda cha pumzi ujue pia nandoto ya kuleta teknolojia ya kuishi milele bongo mimi sio wa hapa usicheze kabisa na mm ukapoteza bahati

Leejay:. Ohhhhhh jmn (kwa sauti ya zuwena) kweliiii?
Half: Twenzetu bibiye

Basi Leejay na khanga yake iliyokuwa na macho matatu nyuma (kutoboka) na kupauka moaka unashindwa kujua ni rangi gani, akafata nyuma mpaka getto kwa mshikaji

halaula Halfu akaanza mambo ya touch touch za hapa na pale ohhhh mpka muda wa kulina asali kwa jiti kijana kitwangio hakioneshi ushirikiano
Mammamamaaaaaaaaaa Half alisema

Leejay: Nini mpenz mbona wanitisha
Half: Nimekosea masharti ya mganga na lazima utapata adhabu
Leejay: Nakufaaaaa,

Mara akaanza kudumaaa na kugeuka kibwengo, na alitoka kwenda huko na huko kuchukua mali za watu na alipigwa sana kwani pale atakaposhika mali ya mtu aligeuka mrembo sana na vijama waliruka nae, ila baada tu hapo anarudi kuwa kibwengo tena hakukoma kwani kila baada ya kurudi kuwa kibwengo usiku ukifika hamu ya kuzama kwenye nyumba za vijana kuiba vitu humjia

Half nae alifukuzwa kijijini kwa vijembe nautajiri wake wa mazingara
Mtakatifu anapata nafasi ya kuwa Askofu kijijini hapo
Gily nae bia zinamuua baada ya kutembea uchi kijijini siri inafichuka anakibamia
MWISHOOOOOOO

UMEJIFUNZA NN?
 
Gily ona Mzee Mroso toka Rombo kabla ya Kwenda Jumuiya
FB_IMG_16781850061182492.jpg
 
Back
Top Bottom