Shortlist msd(medical store departement---tanzania) lini?

Shortlist msd(medical store departement---tanzania) lini?

eddymyinga

Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
11
Reaction score
1
Jamani tumeomba kazi msd tangu mwezi wakumi mwaka 2010,hadi sasa hatujasikia chochote kinachoendelea,sijui wamesha waita watu au vp?maana si mimi tu bali jamaa zangu wote tulioomba hakuna mwenye fununu yoyote kama wamesha toa shortlist au la,mimi na wenzangu tumepata wasiwasi mkubwa baada ya muda mwingi kupita bila kusikia hata mmoja au kuona kwenye magazeti kua wafuatao wameitwa kwenye usahili,

Hivyo basi tungeomba kama kunamtu mwenye kujua kama walisha fanya usahili atujulishe kupitia mtondao huu wa JamiiForums,ili tusiendelee kutega sikio kusikilizia kitu ambacho tulishakosa.

GOODDAY ALL MEMBERS AND GOD BLESS TANZANIA.
 
Ninavyojua mimi ukiona muda umepita bila kuitwa basi just consider haukufanikiwa kuipata hiyo nafasi.
Lakini huo muda wa kuconsider huwa wanautangaza kwenye tangazo la kazi.
 
Kuna mshkaji wangu kasema wamesitisha zoezi, walikuwa na maombi zaidi ya 7,000. May be baada ya budget.
 
yeah... ukiona kimya ujue haumo kwenye mchakato
 
Hi all!!
Kwa taarifa nilizonazo wameshaanza kuitwa kwenye interview, nina rafiki yangu kesho yeye ndio anaenda kufanya position Web Developer
sasa sijui kama wengine wameshafanya au lah!! Venue wanafanyia UDSM
Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom