Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Jul 20, 2012 #1 Habari wadau kwa wale tuliapply hii post ,jamaa wameshapigiwa simu kwa waliofanikiwa,kama bado basi tumekuwa unsucessfull,interview wanafanya jumatatu ila tusihofu kwa tuliokosa kama ipo ipo tu
Habari wadau kwa wale tuliapply hii post ,jamaa wameshapigiwa simu kwa waliofanikiwa,kama bado basi tumekuwa unsucessfull,interview wanafanya jumatatu ila tusihofu kwa tuliokosa kama ipo ipo tu
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,039 Reaction score 855 Jul 21, 2012 #2 thanks mkuu kwa taarifa, vipi wale jamaa wa mambo ya ethics walishaitwa