nimesikia leo tarehe 27 april mtanzania news wametoa shortlist ya walioomba kazi ya hakimu mkazi daraja la pili,kwa aliepata electronic source ya hiyo kitu please naomba aiweke humu tuweze kuicheki,wengine tupo mbali na magazeti yanapouzwa,wengine tupo nje pembezoni mwa tanzania..kwa ataepata sio mbaya akitujulisha na mliokua hamna habari mkacheki kwenye hiyo mtanzania ya leo
AMEN MkuuNimeliona tangazo,Majira ya tarehe 28/04.Itavyuu zinaanza tarehe 14/05 kwa makundi ya watu 20 kila kundi,Mahakama Kuu Makao Makuu,Kivukoni Front.Majina yapo 900 kwa nafasi 300,kama bado hujaona jina lako nashauri uende pale Mahakama kuu,lazima watakuwa na list ya walioitwa kwenye usaili.TUOMBEANE kwa walioitwa na kwa tunaoendelea kutafuta.Safari bado ndefu...