Shortlisted za ualimu interview zinafanyikia wapi?

Shortlisted za ualimu interview zinafanyikia wapi?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wakuu watu walioandikiwa shortlisted interview zao ni lini maana kwenye time table Niki-view hakuna kitu kipya kinachoonesha tarehe.
 
Wakuu watu walioandikiwa shortlisted interview zao ni lini maana kwenye time table Niki view hakuna kitu kipya kinachoonesha tarehe
Subr baada ya masaa kadhaa ingia tna uangalie ratiba ni mtandao tu
 
Vuta subira mwalimu mwenzangu,ratiba ya usahili itskaa sawa.
 
Back
Top Bottom