Shortlisted.

Joined
Nov 28, 2011
Posts
20
Reaction score
3
Raia wema,
Tafadhali tusaidiane kupeana nws za watu waliokuwa shortlisted maana wengine tunategemea zaidi mtandao huu kuliko magazeti kutokana na mazingira tuliyopo, upatikananji wa gazeti ni nadra mno na kama likipatikana basi gazeti hilo ni la udaku.

just kupeana alart maana unakuta mtu umepata taarifa za kuitwa kwenye usaili siku kadhaa baada ya tukio.
Ni hayo tu, Naamini busara itatumika juu ya hili.
Siku njema.
:focus:
 
shortlist ya kazi gani? i mean office/organization/company gani? be spesific
 
Nadhani jamaa anamaanisha shortlist ya kazi zote si unajua hapa watu kibao tunapitia kucheki updates za kazi na wengi tumeaply sehemu tofaut tofauti
 
anaulizia kazi ya meneja wa bar pale mtekenyo bar..tulishashortlist kaka..kama hukuitwa subiri wakati mwingine ..asante..Hr Manager-Mtekenyo Bar
 
anaulizia kazi ya meneja wa bar pale mtekenyo bar..tulishashortlist kaka..kama hukuitwa subiri wakati mwingine ..asante..Hr Manager-Mtekenyo Bar

sio tabia nzur hyo wamjbuje hvo nduguyo, .km wew ni intalectual haijakusaidia elimu yangu ulkarir 2 madesa akat kuna ht null curriculum
 
sio tabia nzur hyo wamjbuje hvo nduguyo, .km wew ni intalectual haijakusaidia elimu yangu ulkarir 2 madesa akat kuna ht null curriculum

Hii habari inaletewa mzaha kw kua mtoa mada ametoa vi2 nusu nusu, shortlisted ya nn?!! gest, lodge au madanguro?!
POPOBAWA.
 
Hii habari inaletewa mzaha kw kua mtoa mada ametoa vi2 nusu nusu, shortlisted ya nn?!! gest, lodge au madanguro?!
POPOBAWA.
Mtoa mada alieleweka kwa 100% ila kwa kuwa wengi wenu humu JF huwa mnakurupuka ku reply kabla ya kufanya uchambuzi yakinifu na kutokuwa serious....kama vp mbaki kwenye jukwaa la jokes tu...
 
Kwa wale waliofanya interview TRA, watu juzi wamepigiwa cmu kwenda kuanza kazi. Kama hajapigiwa jua imekura kwako jaribu tena next time!
 
asante CPA kweli we msomi. umemjibu vizur mwenzetu hope ameelewa, wengine wanajibu majibu mabaya kama vile wamegombana na mamsapu wao majumbani mwao. matatizo ya kifamilia wamalizie huko huko hom wasiyalete hapa, hapa tupo kisomi zaidi
 
Mkuu Saint john's university niwapigia cmu wakasema mpaka february so.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…