CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
age gap kubwa sana hiyo....ale utamu tuu ila amwambie kuwa hapa hamna ndoa
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun

MadameX acha kuniharibia bana mimi bado niko katika mchakato na unaendelea vizuri. Sasa story hii inauhusiano gani na mimi? Unajua uchawi huo?Duuh asiolewe bwana atakuwa huyo anawatoa wake zake mhanga but wait kama story naifahamu hii, isijekuwa huyo baba ni Cool Gentleman ?
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
MadameX acha kuniharibia bana mimi bado niko katika mchakato na unaendelea vizuri. Sasa story hii inauhusiano gani na mimi? Unajua uchawi huo?
- Sijawahi kuwa na mke akafa
Sijawahi kuoa mke wa pili akafa
Mimi kwa maneno maneno yake faili lako nimeshalichoma moto sasa. Afadhali Mungu kanionyesha mapema. lol
siyo issue kubwa... kwani shostito ana umri gani?
age gap kubwa sana hiyo....ale utamu tuu ila amwambie kuwa hapa hamna ndoa
anampenda kwa dhati? kama ndio then go for it.. (gloria and jay form modern family)lakini itabidi avumilie maneno ya watu hivyo asiwe mtu wa kutetereka kwenye maamuzi yake