shost yuko njia panda

Duuh asiolewe bwana atakuwa huyo anawatoa wake zake mhanga but wait kama story naifahamu hii, isijekuwa huyo baba ni Cool Gentleman ?
MadameX acha kuniharibia bana mimi bado niko katika mchakato na unaendelea vizuri. Sasa story hii inauhusiano gani na mimi? Unajua uchawi huo?


  • Sijawahi kuwa na mke akafa
    Sijawahi kuoa mke wa pili akafa

    Mimi kwa maneno maneno yake faili lako nimeshalichoma moto sasa. Afadhali Mungu kanionyesha mapema. lol
 
Last edited by a moderator:
charminglady, naomba kabla sijatoa ushauri tuongee kwa data:

Nchi nyingi za kiafrica wastani wa umri wa ndoa ni miaka kati ya 23 hadi 32 kwa wanaume na 18 hadi 29 kwa wanawake: Age at first marriage - Wikipedia, the free encyclopedia. Wastani wa Kidunia Mwanaume anaoa akiwa na miaka 28 na Mwanamke anaolewa akiwa na miaka 26.

Sasa kamata data hii: Dr. Phil.com - Advice - Marriage and Divorce: The Statistics


So, what is my advise?

Age is nothing but a number. Count your life by quality and not quantity. My Sister aliolewa na Mbaba wa 54 years akiwa ana 24 years (lol) lakini sasa hivi wako kwenye ndoa yenye furaha na amani mwaka 15 na wala hakuna dalili ya mgogoro. Mtu mzima dawa unajua.

Kwanza jipime kama unampenda kweli? Pili Mchunguze. Do your basic homework hata kwa kumuuliza mwenyewe. na mwisho kapimeni HIV na mnarudia tena in 3 months. Ukisha clear kote, mama vaa Shela songa mbele. Achana na akina MadameX.
 
Kwang kukosea kuoa au kuolewa n zaid ya kosa kwa 7buu n kiapo cha maisha ambacho knacmamiwa na mungu na hata sio mwanadamu,hivy naomb asiklze sana moyo wake kabla yetu kama wadau suala la umr linawezakuwa c prb moyo ukmruhusu
 
mh itamsumbua binti bdae, wakijazoena ataja ona kama alikosea kwenda kwa m2 mzima kiasi hicho....kama kuna dalili ya kupata rika lake asubiri, kama hamna aende tu kwa hyo big dady

itamsumbua kivipi?
 
Kwa kuangalia haraka mtu ataruka kwa haraka na kusema tocauti ni kubwa ni kama kuna unwritten law inayozuia watu wa umri tofauti kuwa pamoja bila kuangalia mtu unaweza moyo kuangukia pahala bila kutaraji. Mimi nasema awe naye, waoane, amzalie watoto, waheshimiane as long as factor kubwa ni love....go for it girl
 

love jamani love, love is blind
 
Duuh asiolewe bwana atakuwa huyo anawatoa wake zake mhanga but wait kama story naifahamu hii, isijekuwa huyo baba ni Cool Gentleman ?

mh,madame mbaba kashka dini kama nini. cdhan kama ana mambo hayo!
 
Last edited by a moderator:

Aisee charminglady, binafsi nimekutata na mabinti wa sampuli hii 3, tena wa ndani ya ukoo wetu. Unakuta binti yuko kwenye mahusiano na mzee wa rika kubwa simply because wazee wa rika hizo wengi wao huwa wanakuwa na mapenzi ya kweli, plus wanawatunza kinoma, unakuta binti anahudumiwa mpaka basi, akikohoa tu mzee huyu hapa kubembeleza. Ila mzee anapotaka kumuoa ndo binti anakuwa njia panda, why? Sababu kubwa ni kwamba anaona aibu mbele ya jamii, maana sasa mambo yatakuwa hadharani - si tena mapenzi ya kujificha ficha, kila mtu sasa atajua kuwa kaolewa na babu, including ku-imagine siku hiyo atasimamaje mbele ya watu na mzee kama huyu!

Nina imani ukijaribu kuongea vizuri na shost wako, utakuja kukundua kuwa hiyo sababu ya age difference anayoisema si tatizo kwake, bali analiona ni tatizo kwa jamii inayomzunguka (ndg, jamaa na marafiki).

Mshauri shost wako, wasifanye sherehe, waende tu bomani/kanisani kimya kimya, wapate vyeti vyao kisha waishi. Ushauri kama huu ume-work kwa baadhi ya watu wa aina hii. Sema shida sasa utakuja babu anang'ang'ana kutaka wafanye harusi!
 
umesomeka mkuu, Cool Gentlemen ujumbe utamfikia!
 
Last edited by a moderator:
Mie sina shaka na tofauti ya umri ila nna mashaka na mshosti wako naye asije akaRIP. Inaelekea kikojoleo cha huyo mjamaa kina aleji na ndoa.

deem! Umentengua mbavu zangu we apo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…