habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
siyo issue kubwa... kwani shostito ana umri gani?
ana makampuni yake!
Mmh nini kilisababisha wake zake wote wawili kurest in peace??something is wrong somewhere! Shost yeye haogopi kurest in peace?
red lights flashing....
haogopi kuwa wenzie wamekufa?
Kama m-babaana hela fresh.
Mi j2 hii,sijaenda kanisani,Ney wa mitego anawaita waumini ma-zombie na wameshawekwa bondi kuzimu,eti kwa sababu hawastuki wanawatajirisha wachungaji.Mi nimestuka,sitaki kuwa zombie wala kuwekwa bondi kuzimu bana.. . . . . . . . . BACK TO TOPIC,huyo binti amekosa kijana?Siku hizi mabinti wanaolewa na wanaume waliowazidi kuanzia miaka mi 5 kurudi chini sasa 21 si kibabu hicho?
nahc maamuz binafs na mapenzi vinachangia!
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
wa kwanza et alikufa kwa ugonjwa wa ini, wa pili cancer
Njoo nikufanyie masaji..... Ni mtaalam pia kwenye fani hiyo.deem! Umentengua mbavu zangu we apo!