Shoti ya Umeme yampiga hadi kifo Mwanamke aliyekuwa akioga

Shoti ya Umeme yampiga hadi kifo Mwanamke aliyekuwa akioga

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
IMG_20191225_113522_372.jpg
KIBRA, KENYA: Mwanamke mmoja wa makamo amefariki dunia wakati akiwa bafuni anaoga. Imeelezwa kuwa kifo chake kimetokana na hitilafu y umeme

Mashuhuda wamesema kuwa Mwanamke huyo alikuwa mwenye furaha wakati akiingia bafuni kuoga ili asheherekee Siku Kuu ya Krisimasi

Hadi habari hii inandikwa Mwili wa Mwanamke huyo ulikuwa haujaondolewa kwenye bafu hilo


========

A middle-aged woman was on Wednesday morning electrocuted to death in Lain Saba within Kibra slums in Nairobi.

The woman is said to have met her untimely demise when she went to take a shower in a general service bathroom at Amref area.

Neighbours who spoke to Citizen Digital said she was in a jolly mood and was looking forward to Christmas celebrations.

Confirming the incident, Kibra AP boss Andrew Musaisi said Kenya Power officials have since been informed to go and disconnect the power line to enable retrieval of the body from the scene.
 
Back
Top Bottom