Should Churches in Tanzania continue being exempted from Paying Taxes?Tanzania loses 2.6 bln due to this

hizi siyo taasisi za miaka ya sitini.Taasisi hizi sasa hivi ni tajiri sana zina uwezo wa kulipa kodi
Unaweza ukawa sawa, but my point ni kwamba mleta mada hakuwa makini kwenye uandishi wake, kwa issue ya "federal income tax" hakuiweka kwa muktadha wa Tanzania (au nimemsoma vibaya?) ameishusha kana kwamba ni sheria ya hapa kwetu.
 
Why only churches and not all religious organisations?
 
Kwa mtazamo wangu mleta hoja ana Jambo la msingi.taasisi hizi zilipe kodi kama wengine.
Tunayoshuhudia huku mtaani yanathibitisha hivyo. Huduma zao ni aghali wakati mwingine kuliko za watu binafsi huku Viongozi wake wakiishi maisha ya anasa katikati ya umaskini wa wafuasi wao
 
Yes kaka
 
Unaweza ukawa sawa, but my point ni kwamba mleta mada hakuwa makini kwenye uandishi wake, kwa issue ya "federal income tax" hakuiweka kwa muktadha wa Tanzania (au nimemsoma vibaya?) ameishusha kana kwamba ni sheria ya hapa kwetu.
Kweli kabisa ila nimerekebisha na nadhani ulielewa maana yangu
 
Tujaribu kuelimishwa humu ndani lengo la kutoa misamaha Kwa taasisi hizo ilikuwa nini? Je Sababu hizo zina mashiko ktk Zama hizi?
 
Tujaribu kuelimishwa humu ndani lengo la kutoa misamaha Kwa taasisi hizo ilikuwa nini? Je Sababu hizo zina mashiko ktk Zama hizi?
 
sure
 
makanisa yanalipa kodi, kupata ushahidi nenda TRA omba TIN ya taasisi za kanisa uone kodi zinavyoingia serikalini, kodi hailipwi kiholela lazima kuwe na base ya kulipia ndio maana huwezi lipa kodi kwenye sadaka maana ile sadaka watu wanalipa kodi kwanza kinachobaki ndio wanakuja kumtolea Mungu, thats why kumbi zote za kanisa mfano CARDINAL RUGAMBWA pale st Peter, msimbazi center, wafanyakazi wote wa hospitali za kanisa wanalipa PAYE na kulipiwa SDL pia ( kama unabisha watafute wahasibu wa Trustees of archbishop of DAr es salaam) katika VAT act 2014 Sheria imeondoa special relief, pia definition ya religion na religion activities imekuwa na marekebisho, andiko hili halijafanya tafiti kuhusu mabadiliko makubwa ya sheria za kodi kuanzia 2015 hadi 2017
 
acha uongo
 
The government should not interfere with religious freedom, Tax exemption enables them to support the needs of their communities and the only way it can survive financially.
 
kumbe yanalipa duuuh embu wazifute basi jamani
 
Mali walizo nazo makuhani wa madhehebu mbalimbali, km ndege, magari ya kifahari (Hamer, V 8), majumba ya kifahari nk hutokana na sadaka au biashara au misaada kutoka nje? Na ni kipi katika hivyo kinatakiwa kusamehewa kodi?
 
Hii habari inaihusu Tz au Marekani?
 
B
aadaye hiyo kodi utaipeleka kufanyia nini ambacho hakifanywi na haya makanisa.weka list ya huduma za kijamii kama vyuo, mashule ,hospitali ambazo makanisa yamejenga kuzunguka Tanzania nzima halafu na hiyo kodi yako halafu jiulize kama hizo huduma serikali peke yake ingeweza kuzitoa peke yake
 
Spot on!
I would support such an initiative 100%.
Tax exemptions to religious organizations isnt a bad thing, ila kuna watu wanatumia this vibaya to make themselves rich! Something definitely has to be done!
 
Huu Uzi umekuja baada ya makanisa kumuombea TL and therefore hizi ni siasa za maji taka! Kumbuka makanisa yamesamehewa kodi kwa huduma wayotoa mfano elimu, afya ya roho na mwili na pia uchumi.

Mtoa mada ilibidi kwanza apige gharama ya hizo huduma wanazotoa na kulinganisha na kodi waliozosamehewa. Pia ajaribu kuangalia kama serikali ingetoa huduma hizo kwa ufanisi kulinganisha na makanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…