kafa kijana....aliyekuwa anadhani ni yeye ndo anapendwa..kuja kustuka dada anaolewa na mtu mwingine kabisa......akapata kitu kinaitwa eutanesia death ( kifo cha huruma).....huyu mleta mada alikuwa anaishi na huyo dada na alikuwa hajmwambia kuwa ana mtu mwingine ambaye wamepanga kufunga ndo yeye alikuwa anamjua marehemu huyu...sasa hapa anauliza aende harusini maana kadi kaletewa....
umeelewa sasa si ndiyo?....
mgumu wa kuelewa namba 1
mgumu wa kuelewa namba 2
Da!! imeniuma utadhani mimi ndy niliyeumizwa, Huyo msichana ana roho ya chuma, lakin ukatili huu TUNAFUNDISHWA NA WANAUME, WANAUME WANATUUMIZA SN SN KIASI AMBACHO SOMTMS WANAWAKE NAO WANAKUWA KATILI ZAIDI YAO...KWENDA AU KUTOKWENDA HAYO NA MAAMUZI FUATA NDANI YA MOYO WAKO UNAONGOZWA NA NINI???......JAMAN HEBU TUACHA KUDANGANYANA, HAYA NDIYO MADHARA YA UONGO....WANAUME CHONDE CHONDE ACHENI UONGO,,MWANAMKE NI KATILI SANA PINDI ANAPOAMUA KUFANYA UKATILI ILA HURUMU WALIYOPEWA NA MUNGU NDIYO WAKATI MWINGINE INAWAZUIA WASIFANYE UKATILI.....IMENIUMA SN SN,,,SIJUI KWA NINI MAPENZI YAPO NA HAYAKWEPEKI???...NATAMANI NIPATE DAWA YA KUTOKUPENDA....JE IPO??
kumwamini mtu saa nyingine sio vizuri, hivi unakuwa na mtu for 7 yrs na usielewe mipango yake???
any way rafiki yako hatakuelewa, itabidi uende tu kwa shingo upande, then nafikiri umeshajua kuwa huyo rafiki yako ni mtu wa namna gani!! TAKE A GOOD CARE