Should I close my businesss-Ushauri

Stay Focused, Remember your number One goal when you quit job. Develop skills that you are poor at. LEARN SELLs skills.

Dont, and Never be fooled with the flash network which will make you locked behind the contract that you will sign.
 
Hizo "miezi zilizopita" naona zimekuletea baraka za ajabu na wewe unahitaji kuenda kanisani au msikitini kumpa Mungu shukrani. Katika muda huo Mungu amekuonesha kuwa wewe ni mzuri katika kazi unayoifanya.

Muombe huyo ndugu mahusiano yenu yawe mahusiano ya kikampuni kwa vigezo vya synergistic relations. Kwa maana hiyo jaribu kuomba aendelee kukupa sub-contracts kwa rate nzuri. Maelezo yako yanaonesha kuwa wazo lako binafsi linaweza kufaulu. Usifanye kitu chochote kinacholenga kumeza, au kuua wazo lako binafsi. Ukikubali kumezwa unaweza ukawa Bill Gates wa East Africa ambaye anamezwa kwa sababu tu ya vijitatizo vya start-up.

Labda m-bembeleze huyo mtu wako aendelee kukupa sub-contracts. For additional advice, you can contact me at: jbinala@hotmail.com. Keep up the good work--at your own place! Mwanzo huwa mgumu katika kila kitu anafanya binadamu.
 

Pole sana iMind katika maisha yako usikubali mapema kushindwa hata kama unapitia changamoto gani,hakuna mtu aliyeanza mara moja akafanikiwa miaka miwili ya kujitegemea na kuacha ajira bado ni kidogo sana kama ni mtu mwenye focus,changamoto hazina budi kuwepo na unachotakiwa kufanya ni kwa namna gani utazikabili hizo changamoto,hayo makampuni makubwa mara nyingi yanapenda kuwakandamiza wadogo wanaoibukia,cha kufanya usifunge biashara yako pambana huyo jamaa hata kama atataka kuuza product zako kwa jina lake we kubaliana naye ila awe ana ku subcontract na si kukuajiri kama anavyotaka kufanya,akikuajiri atakunyima baadhi ya uhuru ambao ukiwa kama subcontractor wake utakuwa nao, cha kufanya kabla ya kumuuzia product nenda brela sajili haki miliki ya hiyo product then unapomuuzia haki miliki zote zinakuwa za kwako kama mkishindana kibiashara hata ukienda mahakamani anazuiwa kuzitumia hiyo product,fanya hivyo na utafanikiwa usikubali kushindwa kirahisi kaka,kwa kufanya hivyo baada ya muda mfupi utajikuta umepata mtaji na unaweza kujiendesha mwenyewe,mimi pia niliacha kazi ya kuajiriwa nikasota kama wewe miaka karibu miwili ila Mungu ni wa wote nime settle napata miradi mikubwa kwa midogo na mambo yanakwenda.Pambana acha kukata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…