Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
Si unakumbuka Mkuu alitokea kule baada ya vurumai kuisha. December, January Mkuu alikuwa kimya kama vile hakuna majambo kwa majirani.
Lakini baada ya mambo kuwa shwari, mkuu anapanda kadege kwenda kutafuta misifa.
Jamani si serikali hii hii ya CCM iliyotoa kauli yake kufuatia vurugu kule Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu na ni wao waliofunga safari (Mkapa na Kikwete) na kwenda kuleta upatanishi kule?
unajua mimi naamini ni mtego kwa CCM kwa sababu hawawezi kucondemn Iran wakati wao uchaguzi wao mkuu unakuja na unaweza kuja na machafuko yake.
Hapo wanakatumia kale kamsemo kao kuwa Tanzania haifungamani na upande wowote.
Kumbe ni kuangalia maslahi ya mifuko yao. Nchi lazima iwe na msimamo, na sio kutumia vi theorem vya ki changu doa, ni sawa na Mwanamke asiyefungamana na Mwanaume yeyote yule, KILA DUME NI WAKE. LOL.
Umeanza kuwadharau Maaskofu wako ha! chaguo la Mungu bana!hahahah.. mwanamke asiyefungamana na mwanamme yoyote.. hii ni kali..
Hebu acha kutufanya wote wajinga hapa bana. Ni Wairan wangapi walipigia kura opposition?! Zaidi ya watu million 15 ndani ya Iran unataka kuwafanya wote hao ni supporters wa west, hebu acha upotoshaji wako wa kila kitu ni West vs Iran!
http://english.aljazeera.net/news/middleeast/2009/06/200961391719990152.html
Recently, Tanzanian government has become very close to Iranian government to the point of entering a military cooperation treaty. And for sometime there had been a growing and sustained diplomatic relation with Iran that has caused some discomfort among some of us especially taking into account the current standoff between Iran and Western powers on the issue of nuclear proliferation.
Since the Iranian election in the middle of this year an election that was marred by accusation of vote rigging and other irregularities the Iranian government has resorted to more ruthless methods to contain the opposition against it.
In the current showdown between the Iranian authorities and supporters of opposition 5 people have been gunned down during a political rally in Tehran.
Bearing in mind the possibility that the situation Iran might escalate I'm urging our government to issue a strong and unambiguous message to the Iranian leaders that the Tanzanian people strongly oppose the tactics of fear targeted against civilians who are demonstrating in a political setting.
Even more, our government should offer to mediate some sort of political negotiation between the opposition and the government in Iran so as to diffuse the situation in Iran. Lest it be seen that our silence endorses the actions by the Iranian government.
Guys,
Let's NOT do the dirty job of the Jews in this Forum!!!!
This is nothing more than a Jewish propaganda.
Let the Jews do it themselves!!!!
Well Mkuu, may be you are right. Muuaji ni muuaji tu whether yeye ni yahudi au mpersia. Sioni kama kupinga kukemea uuaji Iran ni kufanya kazi ya mayahudi na kukemea mauaji yanayofanywa na mayahudi ni kufanya kazi ya wasilamu au waarabu. Ni kanuni rahisi tu kuwa kama mauaji yakifanyika bila misngi ni lazima yakemewe, lakini muuaji hawezi kukemea mauji.
...... Ni kanuni rahisi tu kuwa kama mauaji yakifanyika bila misngi ni lazima yakemewe,...................
...........Hivyo, wapo watu hapa ambao wakiona Wayahudi wanauawa watachekelea lakini wakiona Waarabu wanauawa watalia lakini kama ni Waarabu kwa Waarabu............wanataka iwe kimya............
Nd. Bongolander,
Mbona unatutisha????
Mauaji ni mauaji tu. Hakuna mauaji ya msingi na yale yasiokuwa ya msingi!
Inamaana haya ya ZNZ ni ya msingi na haya ya Iran yalikuwa sio ya msingi?
Jamani tuacheni kuwasaidia majahudi!
These are very cunning people. Tunawasaidia bila ya hata sisi wenyewe kujua.
Why do we want to dramatize the Iranian issue wakati sisi wenyewe ndio hayo hayo tunayafanya??? Huu jamani sio uzalendo wa kijinga????