sio mfume dume bana ni maumbile ya mwanaume kutamani hata mbuzi mwenye kashepu achilia mbali ex wake, na ni maumbile ya mwanamke kushawishika na kudanganyika hata kwa ahadi hewa, weka hizo mbili pamoja plus rekodi yako na jamaa kitandani halaf unambie usalama utatokea wapi?. Punguzeni kuangalia isidingo, yapeni maisha uhalisia wake.Kwasababu ya mfumo dume....hivi urijali maana yake ni nini???
Mimi naruhusiwa kuwa na mawasiliano na Ex wangu.....
Lakini mai waifu wangu haruhusiwi kabisaaaaaa!
Sihitaji kuulizwa maswali hapa!
Vigezo na Masharti kuzingatiwa....Staki maswali nimekwambia.Babu nikuulize?
Ole wake nimsikie..... Rafiki mbona unapotea sana bana? mkwe wangu hajambo?rafiki, hata wife naye anasema hivyo hivyo, yeye anaruhusiwa ila wewe huruhusiwi............................ ngoma droo.........
Siamini nimekugongea senksi.....umesomeka!!!sio mfume dume bana ni maumbile ya mwanaume kutamani hata mbuzi mwenye kashepu achilia mbali ex wake, na ni maumbile ya mwanamke kushawishika na kudanganyika hata kwa ahadi hewa, weka hizo mbili pamoja plus rekodi yako na jamaa kitandani halaf unambie usalama utatokea wapi?. Punguzeni kuangalia isidingo, yapeni maisha uhalisia wake.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa....Staki maswali nimekwambia.
Ole wake nimsikie..... Rafiki mbona unapotea sana bana? mkwe wangu hajambo?
I think many people do still communicate with their exes whether they will admit it or not. Some perhaps would not like to but they just lack the will power to follow through so they end up either initiating the contact or respond to it.
Communicating with ex flames is almost always a source of conflict in couples. This then leads to lying and other shenanigans of that nature just so to avoid conflicts. Advancement in technology also plays a huge role in facilitating communication between exes without their current partners even having a slightest clue about.
Your girlfriend or boyfriend can be in constant communication with an ex without you even knowing. Has it ever dawned on you that you and your partner could both be members in this forum without even knowing about it? She has her own little boyfriend that she met in here, they communicate through PMs and all. You have your own little girlfriend that you met in here and you communicate with her through PMs and a fake email that you set up just for that purpose. If you think about it, it is just like a game. Both of y'all are just playing a game. A mind game.
Therefore, keeping in touch with an ex, in my opinion is not wise if you are romantically involved with someone else. This is just out of respect to your partner. But then again it all depends on how your partner sees it. If he or she has a major problem with it don't do it. If he or she is agnostic about it then use your common sense.
rafiki majukumu ya kumlea mkwe wako.............. natamani sana hiyo siku ya binti yako kukabidhiwa kumlea kijana wangu. I will be the best mama mkwe EVER! maana nitachukulia ananisaidia kulea
Vigezo na Masharti kuzingatiwa....Staki maswali nimekwambia.
Ole wake nimsikie..... Rafiki mbona unapotea sana bana? mkwe wangu hajambo?
Ewaa...na hapo utakuwa umepata mkwe. Matesha ni mwanamke wa haja.....nidhamu na heshima ni nyumbani kwake. Namwonea wivu mkwe wangu asee.