Umesomeka kama unavyosomeka hapa:
unatoa lami unaweka lami, unatoa vumbi unaweka vumbi!
Na hii nimekuzawadia hii:
The Following User Says Thank You to generation-Y For This Useful Post:
Asprin (Today)
aisee wewe mrombo nini... maana naona mara nyingi unakua na watu wenye kesi za kujibuWewe una kesi ya kujibu..........:A S angry::A S angry::A S angry:
aisee wewe mrombo nini... Maana naona mara nyingi unakua na watu wenye kesi za kujibu
yeyoooooooooooooo
hapa sitiii neno
Tia tu usiogope!!!!!!
aisee wewe mrombo nini... maana naona mara nyingi unakua na watu wenye kesi za kujibu
yeyoooooooooooooo
mmh mmh apana
roya roy=rose
bigirita=mama bg
finest=kayatima kamapenz
generation y=magazijuto
kaizer=zilipendwa
asprin=wa wajukuu
kimey=wa kusutwa
Mamito mi c nilisemaga naogopa kusutwa mtoto wa mwanamke mwenzio?mmh mmh apana
roya roy=rose
bigirita=mama bg
finest=kayatima kamapenz
generation y=magazijuto
kaizer=zilipendwa
asprin=wa wajukuu
kimey=wa kusutwa
kwa hiyo hapa sana sana TUNAJADILI NINI?:mod:
hahahaha wala sikunotice kua hili thread ni la mwaka jana........Baba Gift huna mpya mpaka unafumua fumua vya zamani?Wakati unalifufua hili lisredi la mwaka jana ulitarajia tutajadili nini?
kha!...............Wakati unalifufua hili lisredi la mwaka jana ulitarajia tutajadili nini?
kwa hiyo hapa sana sana TUNAJADILI NINI?:mod:
ahahaaaaaa... sie wote watanzania bana... the warning has been noted:redfaces:Thats kabila calling...You have been warned!
ahahaaaaaa... sie wote watanzania bana... the warning has been noted:redfaces:
okay okay!Uteuzi wa baraza la mawaziri Baba Gift ...
dont worry buddy... nipo pakistani namtafuta JS.... sijui kajificha wapi!!!Afu sijakuhamisha meza siku nyingi sana....imekaaje hii?:hungry::hungry::hungry: