Shout-out

Hivi mentor mimi na wewe si ni wajukuu wa babu mmoja kabisa, haya mambo inakuwaje tena!! Au wamekwiba id yako[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Ahahah my kindred atoto,

While I was busy in sedentary under the mango tree reading until I got lethargic...you were playing 'mamdako' and 'kibaba na mama'.
 
Ahahah my kindred atoto,

While I was busy in sedentary under the mango tree reading until I got lethargic...you were playing 'mamdako' and 'kibaba na mama'.
Sio vizuri ujue[emoji24] [emoji24]
 
Hebu uwe unanisaidia tufanye mazoezi ya kukizungumza angalau tuzoeane, maana kingreza kimegoma kunizoea kabisa.

Pouwa atoto, kuanzia leo tuwe tunaongea kisukuma tu tukikutana.

Valentina wifi yangu ningependa nae ajiunge na sisi, halafu sijui kwa nini haongeagi kisukuma na wasukuma wake.
 
Maw
Mawee kwa kiingeleza hichi hata nilewe eagle sielewi ng'oo
 
Pouwa atoto, kuanzia leo tuwe tunaongea kisukuma tu tukikutana.

Valentina wifi yangu ningependa nae ajiunge na sisi, halafu sijui kwa nini haongeagi kisukuma na wasukuma wake.
Wasukuma wangu ndo kama hivo wamekazana na kithungu watanifundisha sangapi hicho kisukuma?
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…