vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Hahaha.....Ngoja nishughulikie hilo...Nianze kuwaPM totoz.....Sema hii JF unaweza kujiachia PM kumbe unachat na dume jenzioHauna hata inbox
Navyo amini asilimia 80% ni madume wenye ID ya kike JFHahaha.....Ngoja nishughulikie hilo...Nianze kuwaPM totoz.....Sema hii JF unaweza kujiachia PM kumbe unachat na dume jenzio
Maneno ya nini.....Onesha hapa zakoChache sana hzo kama umetumia siku nzma hivo
Maneno ya nini.....Onesha hapa zako
ahahaa mwambie hyo ni inbox ya mtu mmoja ndani ya lisaaHauna hata inbox
Upo vizuri kijanaHii ni ni kwa dakika 10
Hahhaha.....Huyo atakuwa anasubiri ajira za magufuli akiiba wireless ya watu....In short ni mtu asiye na kazi za kufanyaahahaa mwambie hyo ni inbox ya mtu mmoja ndani ya lisaa