show ndani ya nyumbani lounge

show ndani ya nyumbani lounge

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Jay dee atafanya show yake tarehe 31 ndani ya kaukumbi kadogo ka nyumbani lounge,mimi nasema hivi kama kweli yeye ni anaconda kwa nini asingeenda diamond jubilee ama pta ama mlimani city? Ili tuamin yeye hajachuja sasa huo ukumbi hata watu buku hawafiki
 
Ndio maana minimum kiingilio ni 20,000/- lengo ni kupata watu wachache wastaarabu.

Facebook-Like-Button.jpg
 
Jay dee atafanya show yake tarehe 31 ndani ya kaukumbi kadogo ka nyumbani lounge,mimi nasema hivi kama kweli yeye ni anaconda kwa nini asingeenda diamond jubilee ama pta ama mlimani city? Ili tuamin yeye hajachuja sasa huo ukumbi hata watu buku hawafiki

Nafuatiliaga sana thread zako, nyingi hazina mashiko;
Ni kweli bado unaamini kufanya show Diamond Jubilee au Mlimani city ni bora zaidi,?
sehemu ya kufanyia inategemea vigezo vingi zaidi ya upeo wa fikra zako, mfano walengwa, gharama na vitu kama hvyo, so hakukuwa na ulazima wa kufanyia eneo lingine ambalo angelipa pesa aache lile la bure na la siku zote pale, so far mapato ya vinywaji na vyakula yatamhusu pia!

Kingine ambacho unaonekana umekurupuka ni juu ya ukubwa wa eneo analofanyia, kama kawaida atafanyia pale nje ambapo atachukua watu wengi zaidi ya ndani ambako wewe ndiko unadhani!

JIDE GO GO GO......KILA LA HERI...WE WILL ALWAYS SUPPORTING YOU!
 
Jay dee atafanya show yake tarehe 31 ndani ya kaukumbi kadogo ka nyumbani lounge,mimi nasema hivi kama kweli yeye ni anaconda kwa nini asingeenda diamond jubilee ama pta ama mlimani city? Ili tuamin yeye hajachuja sasa huo ukumbi hata watu buku hawafiki

kote kakataliwa watu hawataki kuwa katikati na mabifu na watu wengine hasa wanaowaweka mjini.
MWACHE ABANANE PALEPALE ALE JEURI YAKE.SASA NA ASIPOANGALIA ILE KESI YA MADAI ATALIPISHWA
FAINI KUBWA KIASI MPAKA HAKO KANYUMBANI LOUNGEHAKATAKUWEPO TENA.ARUDI KULIMA MIHOGO'
USHAURI KWKO JIDE JIRUDI KIBURI HAKINA MAANA YOYOTE HAPA MJINI KUNA WENYEWE,KUMBUKAULIKOTOKA ULICHOKA MFANO HAKUNA,UKATENGENEZWA ANGALAU UKAONEKANA,SI HIVYO TU YULE MKE ULIYEMPORA MUME JAPO NAE KWA SASA ANA MAISHA YAKE LAKINI BADO ANAKULILIA HAYO YOTE USIPOOMBA MSAMAHA.BASI USITEGEMEE KUFANIKIWA NA MENGINE.ANGALIA ULIPOANZIA KUJIKWAA SIO ULIPOOANGUKIA,NI USHAURI TU NA SITAKI NASAHA ZA WAPAMBE AJIBU MWENYEWE!
 
aka2030 wewe ni miongoni mwa midume isiyo na akili mliotumwa na Ruge kumstress Jide humu JF.
Prime time na mahela yote mnatolewa nishai na kasichana ka kakapuku.
Ona Lina na Barnaba wamefukuzwa THT kwa kumuunga mkono Jide.
Joto hasira ni moto wa kuotea mbali
 
Last edited by a moderator:
kote kakataliwa watu hawataki kuwa katikati na mabifu na watu wengine hasa wanaowaweka mjini.
MWACHE ABANANE PALEPALE ALE JEURI YAKE.SASA NA ASIPOANGALIA ILE KESI YA MADAI ATALIPISHWA
FAINI KUBWA KIASI MPAKA HAKO KANYUMBANI LOUNGEHAKATAKUWEPO TENA.ARUDI KULIMA MIHOGO'
USHAURI KWKO JIDE JIRUDI KIBURI HAKINA MAANA YOYOTE HAPA MJINI KUNA WENYEWE,KUMBUKAULIKOTOKA ULICHOKA MFANO HAKUNA,UKATENGENEZWA ANGALAU UKAONEKANA,SI HIVYO TU YULE MKE ULIYEMPORA MUME JAPO NAE KWA SASA ANA MAISHA YAKE LAKINI BADO ANAKULILIA HAYO YOTE USIPOOMBA MSAMAHA.BASI USITEGEMEE KUFANIKIWA NA MENGINE.ANGALIA ULIPOANZIA KUJIKWAA SIO ULIPOOANGUKIA,NI USHAURI TU NA SITAKI NASAHA ZA WAPAMBE AJIBU MWENYEWE!

Heloo kila siku kazi kumsakama Jide, kakunyang'anya bwana?
 
Last edited by a moderator:
Wewe uko safi au ndio yale ya kuona uchafu jichon mwangu ilhal wewe unaboriti!?
Achen watu wafanye yao pia kumbuka yeye ananyumban lounge wewe una nn halafu una ita ka nyumban lounge dah wabongo kwa dharau wakati wanatunzwa mjini duh!
Acha kuingilia uhuru wa mahakama na sheria hujui pili nenda kwa aliyekutuma akupe promo na airtime ya kutosha imba uvume uwe mkali zaidi ya bnt komando.!
Kama huwez basi acha watu wafanye yao walipoanzia hupajui unaona tu mafanikio wengine walishinda njaa
 
Bado haujaelewa tafauti ya wakina diamond, tid etc na jide. Wateja na washabiki wa nyumbani lounge sio waendaji wa diamond hall hata siku moja. Ukijua elegance utajua kwa niji watu fidenge wanahang in certain places.
Jay dee atafanya show yake tarehe 31 ndani ya kaukumbi kadogo ka nyumbani lounge,mimi nasema hivi kama kweli yeye ni anaconda kwa nini asingeenda diamond jubilee ama pta ama mlimani city? Ili tuamin yeye hajachuja sasa huo ukumbi hata watu buku hawafiki
 
Kipi bora kati ya kufanya show Diamond Jubilee watu wakajaa sana lakini ubora wa huduma ukawa zero na kufanya nyumbani Lounge watu wachache lakini ubora wa Huduma 100%?

Jay Dee ana amini katika ubora na sio bora show kama wafanyavyo wazee wa Mlalakua!
 
Bado haujaelewa tafauti ya wakina diamond, tid etc na jide. Wateja na washabiki wa nyumbani lounge sio waendaji wa diamond hall hata siku moja. Ukijua elegance utajua kwa niji watu fidenge wanahang in certain places.

hahahaha! anadhani ni wale wa juma nature wanaotoka temeke kwa miguu hadi diamond alafu kiingilio kama Taifa kule shamba la bibi!!! wakifika viroba kichwani macho yanawatoka kama kuna vita!!! Wanavyocheza sasa ile mapanga shaaaaa! utakomaje!!!!!!!
 
Mkuu ningeona kama unampongeza jide kwa hatua aliyofikia kwani ameshinda watu sana hata klabu za simba na yanga zenye umri mara tatu zaidi ya jide huku hawana hata uwanja wa mazoezi tubadilike tuache wivu.
 
kote kakataliwa watu hawataki kuwa katikati na mabifu na watu wengine hasa wanaowaweka mjini.
MWACHE ABANANE PALEPALE ALE JEURI YAKE.SASA NA ASIPOANGALIA ILE KESI YA MADAI ATALIPISHWA
FAINI KUBWA KIASI MPAKA HAKO KANYUMBANI LOUNGEHAKATAKUWEPO TENA.ARUDI KULIMA MIHOGO'
USHAURI KWKO JIDE JIRUDI KIBURI HAKINA MAANA YOYOTE HAPA MJINI KUNA WENYEWE,KUMBUKAULIKOTOKA ULICHOKA MFANO HAKUNA,UKATENGENEZWA ANGALAU UKAONEKANA,SI HIVYO TU YULE MKE ULIYEMPORA MUME JAPO NAE KWA SASA ANA MAISHA YAKE LAKINI BADO ANAKULILIA HAYO YOTE USIPOOMBA MSAMAHA.BASI USITEGEMEE KUFANIKIWA NA MENGINE.ANGALIA ULIPOANZIA KUJIKWAA SIO ULIPOOANGUKIA,NI USHAURI TU NA SITAKI NASAHA ZA WAPAMBE AJIBU MWENYEWE!

Kwa jinsi ilivyo comment wewe lazima unalelewa.!

Mpambanaji wa maisha hawezi kuwa na mawazo mfu kama haya.

Anza kukomaa na maisha yako.

Hivi wewe ni me au ke.!
 
hahahaha! anadhani ni wale wa juma nature wanaotoka temeke kwa miguu hadi diamond alafu kiingilio kama Taifa kule shamba la bibi!!! wakifika viroba kichwani macho yanawatoka kama kuna vita!!! Wanavyocheza sasa ile mapanga shaaaaa! utakomaje!!!!!!!

Kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiii aaah hii kareee
 
MwanaFa anafanyia wapi?? Kama wana jeuri nao si wangeenda uko Diamond Jubilee. Acha kufuata fuata watu wenye miradi n maisha yao.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom