show ndani ya nyumbani lounge

wewe ni muongo sana pengine hujui hata Nyumbani lounge ilipo. show inafanyika kwenye parking za nyumbani lounge na ni eneo kubwa tuu.
msome hapa lady jayeed acha uzushi na chuki.

Lady Jaydee

Asanteni kwa kushiriki kikamilifu katika topic zangu ambazo nazihesabu ni zetu sote....
Baadae nitawawekea mchoro wa sehemu show itakapofanyika ili muipate picha halisi, stage itakapokuwa na watu watakapokaa.

Sehemu sio ndogo kama watu wanavyodhani, kwani shughuli itafanyikia nje kwenye parking za Nyumbani Lounge
Tar 31 May 2013, siku ya Ijumaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…