show nyingine 31 May 2013 clouds wanahusika

show nyingine 31 May 2013 clouds wanahusika

Danyel mweusi

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
81
Reaction score
19
ni show ya kina Kala pina, Kalla Jeremaya, Mansul na wengine kibao siku ile ile ya show ya Lady Jay dee na zote zinapigwa promo ya nguvu na Cloulds fm, au ndo yale yale ya mwenye nguvu mpishe
na hapo bado wanapromote ya mwana fa... Hebu wana jamvi tujadili hili
 
kizur chajiuza kibaya chajitembeza barid rahaa tuuu wapo
 
Kwa iyo unataka kutuambia ukumbi atakaofanya ladyjaydee unaweza kutosha watu wote wa Dar wakiamua kwenda?
Kwanini unataka trh 31 kuwe na show moja tu ya ladyjaydee¿
 
kama unamkubar jaydee utaenda kwake no matter what, ukienda kwingine ina maana unamkubar huyo mwingine kuliko yeye.....
Kwa hiyo yote sawa
 
Tatizo ni Show kuwa nyingi kwa siku moja AU promotion? Maana Ijumaa km kawaida Twanga wanapiga,Fm wanaunguruma,Mapacha km kawaida,Mashujaa wapo Millenium,..... Madisco nayo km kawa hayakosi watu! Sasa embu nyoosha kauli yako Shida ni kituo flani kufanya promotion ya hizo show mbili au Ilitakiwa Watu wooooote Dar tuende Nyumbani Lounge?
 
jiji lina watu wengi sana jaydee atapata watu nao watapata wa kwao hakuna shida.

joto hasira
 
washabiki wao tofauti kwa hiyo haina shida watu wa jd ni mziki fulani laini na kala pima wale wauza maji na wasukuma mikokoteni yaani kazi ngumu na wavuta bange wapiga mayowe
 
sioni tatizo hapo kama ipo ,ipo tu after all hakuna sehemu iliyohalalisha kwamba tarehe hiyo ni mtu fulani
 
mziki tofauti mapenzi tofauti na ladha tofauti ....na tofauti...
 
jide is zea bana wastaarabu huwezi kwa wahuni wahuni kama mansul ugolo......
 
Bado naamini show Jaydee itabamba sana!
Taste ya muziki wa Kalapina, Mansul, KalaJeremiah wala FA huwezi linganisha na taste ya muziki wa Jaydee,

Hao watakaokwenda kwa show za FA au Kalapina hata zisingekuwepo wasingeenda kwa Jaydee!

Am sure Jaydee atajaza nyomi ya kufa mtu....!
 
Back
Top Bottom