ni show ya kina Kala pina, Kalla Jeremaya, Mansul na wengine kibao siku ile ile ya show ya Lady Jay dee na zote zinapigwa promo ya nguvu na Cloulds fm, au ndo yale yale ya mwenye nguvu mpishe
na hapo bado wanapromote ya mwana fa... Hebu wana jamvi tujadili hili
Kwa iyo unataka kutuambia ukumbi atakaofanya ladyjaydee unaweza kutosha watu wote wa Dar wakiamua kwenda?
Kwanini unataka trh 31 kuwe na show moja tu ya ladyjaydee¿
Tatizo ni Show kuwa nyingi kwa siku moja AU promotion? Maana Ijumaa km kawaida Twanga wanapiga,Fm wanaunguruma,Mapacha km kawaida,Mashujaa wapo Millenium,..... Madisco nayo km kawa hayakosi watu! Sasa embu nyoosha kauli yako Shida ni kituo flani kufanya promotion ya hizo show mbili au Ilitakiwa Watu wooooote Dar tuende Nyumbani Lounge?
washabiki wao tofauti kwa hiyo haina shida watu wa jd ni mziki fulani laini na kala pima wale wauza maji na wasukuma mikokoteni yaani kazi ngumu na wavuta bange wapiga mayowe