Show room uchwara zaficha magari Dar

inaonekana kuna biashara kubwa sana ya kupiga pesa kwenye tasisi zote za usalama,tabia hii ya kujiweka tayari kwa kutumia nguvu kubwa hewa ni kutumia vibaya pesa za walipa kodi.
 
Pale Round about ya mlimani city palikua peupee
 
CCM ndio chanzo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…