Inatusaidiaje kuchumi hapa dimbani?
Naunga mkono hoja....Inatusaidiaje kuchumi hapa dimbani?
May be I have not Understood,
Do you mean they should be investigated because they are not paying Taxes or what?
Ninaamini kila gari linapopita Bandarini Lazini Kodi inalipwa. Kama kuna ukwepaji huo ni Udhaifu wa TRA wenyewe.
For your Information. sio kila mweye showroom ya magari 20 yote ni yake!!!
siku hizi umetokea mtindo mtu ananunua gari akiitumia akichoka anaipeleka show room. Tupo pamoja?
May be unieleweshe labda wachunguzwe kwa lipi?
kama ulikuwepo kaka. Gari inaagizwa kwa 6mil. Show room unaikuta kwa 12to 13mil. and ppl buy!! upff!!Biashara ya hizi showrooms ni biashara za kupigana za usoni tu na kuwalalia malimbukeni wa magari. Lakini kipi kipya?
Hivi kumbe money laundering ni suala gumu kulielewa kwa tulio wengi!!!!
Tiba
wewe nawe bana.......... Lakini kipi kipya?
wewe nawe bana.........
Tatizo lako nini dogo?Halafu naskiaga eti wafanyakazi wa sirikali huwa wanapewa kaunafuu flani kwenye kodi za magari yenye cc flani. Naskiaga wakisha osha nyota nazo kwa saana town mwishoe wengi huwaga wanakujaga kuzirusha humu kwenye mashowroom. Ujinga mtupu.
Tatizo lako nini dogo?
Una jipya?Kuna jangine. Hili la watu wa showroom kusema uwongo kuhusu magari yao. Gari limekatiza vichochoro vyote vya Dar, lakini ukiuliza waambiwa limeingia wiki jana kutoka Japan au UK.
Una jipya?
Naunga mkono hoja....