Show that Sin(A+B)=SinACosB+CosASinB

Hizo hesabu sijaona umuhimu wake katika maisha wala uzitumii maishani na zimetupotezea muda tu.

Zaidi ya kujibu mtihani hazina msaada wowote
utakuwa ulisoma uchumi, ila ungesoma engineering usingejaribu kabisa kusema kitu hiki maana ni kujiabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…