Show ya Ali Kiba na Chris Brown ilivyokuwa huko Mombasa

Show ya Ali Kiba na Chris Brown ilivyokuwa huko Mombasa

Haha I huyu jamaa bhana anahangaika na kiba si mchezo
 
Yani wasanii wa Kenya inabidi waandamane kumbe wasanii wetu wanawapiga bao kwa malipo kiasi hiki.
Ila duh yani chrisbrown anakula 90 mls keshs halafu wizkid 4 mls keshs.
Nimeanza kuwa na mashaka na ile show ya diamond iliyovamiwa na alikiba kama kweli walilipwa kiasi tulichoaminishwa cha 5mls keshs diamond na 3 mls keshs kwa alikiba.
 
Sio mbaya mahesabu ya haraka ni km mil 42 ya tanzania
 
Nna doubt na hizo figures. Inamaana chris brown kalipwa karibu bilion 2? Wizkid mbona dau lake dogo? Vanessa Mdee analipwa sawa na Alikiba?
 
Back
Top Bottom