Usiku wa March 3 huko Las Vegas nchini Marekani waimbaji wa Bongo fleva Alikiba na Ommy Dimpoz walipiga show katika ukumbi wa Sky Beach Club Marekani kwenye Tour yao. Binafsi bado sijaridhiswa na idadi ya mashabiki katika hiyo shoo kiasi cha kumfanya eti mtu asafiri kutoka Tanzania hadi USA kwenda kutumbuiza watu wachache kiasi hiki.
Hii Las Vegas ya wapi? mbona kwenye video dakika ya 2 na sekunde ya 37 Ali K anauliza "watu wangu wa Mombasa mpoo?".Usiku wa March 3 huko Las Vegas nchini Marekani waimbaji wa Bongo fleva Alikiba na Ommy Dimpoz walipiga show katika ukumbi wa Sky Beach Club Marekani kwenye Tour yao. Binafsi bado sijaridhiswa na idadi ya mashabiki katika hiyo shoo kiasi cha kumfanya eti mtu asafiri kutoka Tanzania hadi USA kwenda kutumbuiza watu wachache kiasi hiki.
Oke Zari tumekusikia.hawa jamaa kiba na dimpoz wangeimba kaswida za kuwaburudisha kina shehe ponda na kipoozeo maana bongo flavour imewakata!! [HASHTAG]#siolazimawotemuimbebongoflavour[/HASHTAG]
[emoji2] sana Dimpoz ata simuelewagi hajui imba but ana sauti.....ila kila nyimbo lazima kiba kwani hawez imba mwenyewhawa jamaa kiba na dimpoz wangeimba kaswida za kuwaburudisha kina shehe ponda na kipoozeo maana bongo flavour imewakata!! [HASHTAG]#siolazimawotemuimbebongoflavour[/HASHTAG]
Unazijua nyimbo ngapi za Dimpozi?![emoji2] sana Dimpoz ata simuelewagi hajui imba but ana sauti.....ila kila nyimbo lazima kiba kwani hawez imba mwenyew
Yani kama ulikuwa mawazoni mwangu najiulizaga sana hili swali![emoji2] sana Dimpoz ata simuelewagi hajui imba but ana sauti.....ila kila nyimbo lazima kiba kwani hawez imba mwenyew
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]haaah hao watu n idadi sawa na idadi tuliokuwepo kwny swimming party madele mwaka jana