Show ya Diamond Bukoba kuanzia tarehe 30-31 mwezi huu Kalipwa Million 30

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Nampongeza sana uyu mwanamziki kwa kujituma sana,na hana mpinzani kwa sasa,show yake atakayopiga Bukoba Tarehe 30,Bukoba mjini,Muleba na Karagwe kwa hizo siku mbili amelipwa Million 30.
Pia nakubali hoja yake nje awalipi sana kama show za nyumban Tanzania,wanamuziki wengine wanaoenda kupiga show nje ulipwa dolla 2000 lakin jamaa ameona bora apige show za apa apa Tanzania,kutokana na malipo mazuri,hongera sana
 
duu,watu wana hela za mchezo.unamlipa mtu ambae nyimbo ndio zile zile na kukata mauno kule kule millioni 30?hongera zake kwa kuzichuma.
 
duu,watu wana hela za mchezo.unamlipa mtu ambae nyimbo ndio zile zile na kukata mauno kule kule millioni 30?hongera zake kwa kuzichuma.
hapo ni kutakatisha fedha haramu,maana return kwa huyo promota itakua ni hasara almost 40m.
 
hapo ni kutakatisha fedha haramu,maana return kwa huyo promota itakua ni hasara almost 40m.

Inatia wasiwasi kweli, 30m kwa show BK? Diamond kuwa muangalifu..!
 
Mbona unaingilia kibaruwa cha mtu? hapa jukwaa hili kuna muwakilishi rasmi wa kupachika thread za mume wenu Diamond.

nilisubiria kama wik moja nikaona ajaiweka,nikaona nimsaidie kuweka
 
haina haya ya kumponda msanii wetu,kupitia yy anawawezesha na vijana wengine kujipatia ajira. Tumtie moyo na si kumponda hata ktk mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…