Show ya jana ya Alikiba mapengo kibao.

Sidhani inaweza kuwa hivyo mara nyingi waandaaji wakiona ticket hazijauzwa sana wanacancel show
 
uongo hiyo ni after show 1hr ACHENI CHUKI KILA SIKU KUMUANZISHIA UZI UZI UZI ZA AJABU KAMA KAFELI SI UMUACHE MBONA WAPO WENGI WASANII
 
Mbona hujatuletea na picha ya Ali kiba mwenyewe toa uongo wako hapa
Tatizo lugha kwako haipandi haya website ya pili kutoka Uganda inaongea kitu kile kile.
 
Sidhani inaweza kuwa hivyo mara nyingi waandaaji wakiona ticket hazijauzwa sana wanacancel show
 
Mkuu ulikuwa unakimbizwa ama sa si utulie upige picha vizur.
Nimeripoti kutoka katika website.Hizo picha zimepigwa na hiyo website ya Uganda na website nyingine hii hapo chini imereport kile kile.
 
Uganda so nchi rahis kufanya show kwa sababu wale asilimia kubwa wanasikiliza mziki wa kwao kuliko ya mataifa mengine. Alikiba so kwamba alivofanya show watuu hawakujaa lahasha bali haikufikia kujaza ka shoo zilizopita hivyo hatutakiwi kumbeza bali kumpongeza kwa sababu bongo fleva ni mziki unaokuwa kwa kasi Afrika hatutakiwi kuwagawa wasanii wetu katika makundi hata kama wao hawana maelewano mazurii sisi tushabikie mziki mambo yao binafsi tuwaachie wenyewe
 
Mbona diamond kajaza sana alivyoenda mwezi uliopita Tena kwa kiingilio Cha juu kiingilio Cha chini kilikuwa elfu 50 wakati VIP ilikuwa mil 1 na diamond ni mtanzania?
 
Mbona diamond kajaza sana alivyoenda mwezi uliopita Tena kwa kiingilio Cha juu kiingilio Cha chini kilikuwa elfu 50 wakati VIP ilikuwa mil 1 na diamond ni mtanzania?
Diamond mziki wake ni mkubwa afrika nzima ndo maana anaweza kujaza sehemu yoyote. Lakini wasanii wengi watanzania wanapenda kufanya show kenya kuliko uganda sababu uganda bongo fleva haina funbase kubwa kuliko kenya
 
Hapo nimekupata vizuri.
 
Mkuu mbona Alikiba ameisha muda sana? Kinachombeba hata bongo ni kulinganishwa na Diamond tu. Vinginevyo hamna tena kitu, mziki umeshamtupa mkono.
 
Mkuu kuna kitu kinafikirisha sana kwenye hizo website na picha zao.

Kila story picha ni hizo hizo tu, Je hizo website zote mpiga picha ni mmoja tu? au ni mimi ndie nimeona picha zinafanana kwa kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…