mka JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 318 Reaction score 82 Jun 18, 2013 #61 genekai said: Hahahahahaaa kumbe na wewe huwa unakuja huku? For your information huko sio kwako, rudi kule kwe siasa za majitaka! Click to expand... Mkubwa lazima tukubali kuwa haiwezekani watu wote tuwa tunaunga mkono upande mmoja, Ritz anauwezo wa kuunga mkono upande autakao kama wewe na mimi tulivyo na pande zetu. Pia kama wanajamiiforums ana haki pia ya kutembelea jukwaa hili.
genekai said: Hahahahahaaa kumbe na wewe huwa unakuja huku? For your information huko sio kwako, rudi kule kwe siasa za majitaka! Click to expand... Mkubwa lazima tukubali kuwa haiwezekani watu wote tuwa tunaunga mkono upande mmoja, Ritz anauwezo wa kuunga mkono upande autakao kama wewe na mimi tulivyo na pande zetu. Pia kama wanajamiiforums ana haki pia ya kutembelea jukwaa hili.