Show ya Sugu 1996 kweli watu wametoka mbali

Mzee wa "" Bigriii zali kama zali babu yangu tafadhari..."" dah vina vya kipingi hicho... tushazeeka aiseeeeeee
 
Kurekodi video mwaka 1996 ya msanii akifanya show mtaani ilikuaje? Maana camera za video ilikuwa luxury kubwa
 
Legend, ha ha ha na kasauti kale kale ila kibezi now

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…