Show ya Sugu 1996 kweli watu wametoka mbali

Sugu ni mwanaharakati long time. Hata mashairi yake hapo anaponda rushwa na kuzisifu jitihada za hayati Sokoine. Mashairi yake yanaonyesha alikuwa kichwa toka enzi hizo. Hopefully atapata nafasi ya kuwatumikia wananchi to the fullest
 
Enzi hizo shw tunakwenda pool side kilimanjaro hotel

Ova
 
Huu wimbo ndo mara ya kwanza leo nausikia! Uliwahi kupigwa redioni kweli? Maana zile za kina jay za bongo dar es salaam na ndiyo mzee na za kina inspector kina gangwe mob mbona tuliziaikia? Au 1996! Dah ok maana kwa huo mwaka nilikuwa sijui chochote kwenye muziki..Muziki wa bongo nilianza kuusikia mwaka 2001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…