Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha.. Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.
Hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah
Hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁
Hannah