Show your hand writing (Mwandiko)

[emoji23]
Scars nimependa namna unaandika[emoji171].

Naomba kwa mwandiko huo uniandikie ujumbe wowote,hata jina langu tu[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Γ‘akubali kaka.. ingefaa uingie studio, seems mziki upo kwenye damu.
 
Unaandika vizurii sanaaa..[emoji7]
Mimi nipo kinyume kidogo[emoji23],,Najua zaidi kunyoosha kwenye karatasi isiyo na mistari ,kuliko karatasi iliyopigwa mstari.

Karatasi nyeupe huwa sipindishi kabisa,na huwa nashangaa kwanini watu hawawezi kunyoosha.
Karatasi yenye mstari inanipa shida mno kuifwata maana tayari nina mstari wangu mkononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh! hongera that's talent! wengine bila karatasi ya mistarii unajikuta maandshi yanapanda na kushuka, plane paper inanisumbua aseee
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Weka tu,huwezi jua labda siye pharmacists,mabingwa wa kusoma miandiko iliyoshindikana[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne bado nakupenda sitaki mwandiko wangu uwe sababu ya wewe kupata stroke haya mengine tuachie tunayoyaweza haya maisha yanamengi ndani yake mengine unaweza zimia! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuseme ni nini if not talent?[emoji1][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]Au unapingana na sheria za asili, umewekewa njia ila unashindwa kunyooka nayo... ukinyimwa njia unafanya imagination kupata njia iliyonyooka.!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Siyo talent,,Ni kaujinga tu ninako.
Ka kunyooka na karatasi utadhani natype na PC..halafu daftari ya mistari sipo smart Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…