Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona tatzo ni yeye maana imefikia kipindi amekuwa siyo mwanamziki tena bali socialite. Watu wanafatilia sana maisha yake na familia yake kuliko mziki ajitathimin upya maana hali itazid kuwa mbaya zaidi. Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
 
show zipo marekani huku Tanzania kuna hater ambaye hajawai hata kufika marekani na hana ndugu huko anaonyeasha uchawi wake hadharani,mkuu nakuhakikishia ukiendelea na roho hiyo uzeeni utakuwa mchawi tutakuita babu nyau
 
umekunywa chai??
Bado
Diamond%20Marekani.jpg
 
Hahahaha
Eti babu nyau, hii mpya walahi
 
Back
Top Bottom