kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Ndo shid yet wabongo mtu akisema ukwel anakuwa mchawi..show zipo marekani huku Tanzania kuna hater ambaye hajawai hata kufika marekani na hana ndugu huko anaonyeasha uchawi wake hadharani,mkuu nakuhakikishia ukiendelea na roho hiyo uzeeni utakuwa mchawi tutakuita babu nyau
Badoumekunywa chai??
Ukisema wanadai ww ni haterDavido anaperform kwenye ma wireless huko na kina drake,yeye analambana na vibinti instagram
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona tatzo ni yeye maana imefikia kipindi amekuwa siyo mwanamziki tena bali socialite. Watu wanafatilia sana maisha yake na familia yake kuliko mziki ajitathimin upya maana hali itazid kuwa mbaya zaidi. Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
Ndo wabongo tulivyo..ukisema ukweli unaonekana mchawi,ila there is something wrong kwa huyu jamaa,na inabidi awe makini..saivi hata nomination kubwa kubwa hasikiki tena..na nyimbo zake nyingi saivi ni matusi matusi tu ya kijingaUkisema wanadai ww ni hater
Lawama ziende kwa J.K Nyerere kwa kutufanya Watanzania tuwe wachawi wa asili....Hizi hapa baadhi ya picha.View attachment 809645View attachment 809646
Hahahahashow zipo marekani huku Tanzania kuna hater ambaye hajawai hata kufika marekani na hana ndugu huko anaonyeasha uchawi wake hadharani,mkuu nakuhakikishia ukiendelea na roho hiyo uzeeni utakuwa mchawi tutakuita babu nyau
Uchawi siyo mabaya kabisa,Lawama ziende kwa J.K Nyerere kwa kutufanya Watanzania tuwe wachawi wa asili....