cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Lawama ziende kwa J.K Nyerere kwa kutufanya Watanzania tuwe wachawi wa asili....
InshaAllah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ona unavyotoka povu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzi mzima umekula makavu laivu daah hope ipo siku dai atasikia maombi yako ya kutaka kuwa mrembo wake mpya. Jamaa unamkubali sana tu
Jamaa ana flop vbaya mno, kiukumbi kama bilcanaz ya mbowe ya zaman na hakijajaa aisee siyo kwa flop hiyo jamanWe chok.o hebu cheki na hii
Kuna wakati ukiwa mshabiki uwe unaona.. ni comments anasoma hapo.. vizuri ilaaaaa
Promoters wake walifika kupost kwamba show zake zipo sold out.. baada ya masaa wanatangaza tena na tena kuwa ticket zipo na hadi leo wanatangaza.. jambo hilo walikosea kutumia ujuzi hata kama waliona hawauzi kama kabla.. hilo halifichiki kwamba hata yeye hajivunii kuposti hizo show yupo huko anarudia kuposti za Harmonize alipokuwa Dar live..
Achukue ushauri na kinachotokea huko akione asiwe mbishi
Ngoja waje viranja wakeAlikuwa level za Davido miaka miwili nyuma!
K... hazijawahi kumwacha mtu salama, eti mwenyewe anasema kazi na dawa[emoji23]
Kabaki kuimba mitusi tu!
Na wabongo tulivyo wanafiki sasa, mpaka mtu anapotea hatushauri ila tunashabikia tu!
Tukisema ukwl tunaitwa kila aina ya majina.Kuna wakati ukiwa mshabiki uwe unaona.. ni comments anasoma hapo.. vizuri ilaaaaa
Promoters wake walifika kupost kwamba show zake zipo sold out.. baada ya masaa wanatangaza tena na tena kuwa ticket zipo na hadi leo wanatangaza.. jambo hilo walikosea kutumia ujuzi hata kama waliona hawauzi kama kabla.. hilo halifichiki kwamba hata yeye hajivunii kuposti hizo show yupo huko anarudia kuposti za Harmonize alipokuwa Dar live..
Achukue ushauri na kinachotokea huko akione asiwe mbishi
Jamaa ana flop vbaya mno, kiukumbi kama bilcanaz ya mbowe ya zaman na hakijajaa aisee siyo kwa flop hiyo jaman
Sijui hapa napo watasemaje kwani hamna tofauti ya venue anazofanyia davido na diamond , mimi mwenyewe baada ya kuona huu uzi nikaenda kuangalia post za show zake mbona naona zimejaa na nahisi baada ya kumaliza show yake ya mwisho July 22 ataziweka show zake zote YouTube. Alafu Diamond sio wa kwanza kumuacha mke wake, Jordan yule aliachana na mke wake aliyekuwa naye kwa muda mrefu na wakagawana mali, lkn leo hii Jordan ni bilionea. Tatizo mshakariri nyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke, wengine mwanamke huyo ni mama yake mzazi.
Ndo walipojiajili humo. Wanaachaje? Faida kusutwa na kuliwa kiboga😀Wanaume acheni umbea
Akasafishe nyotaNyota yake imesha hama kabisa!
Si anacheza na ruge huyu anapotea pole pole hata mikoani tu tz ni nyimbo za wasanii wapya tuKwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona tatzo ni yeye maana imefikia kipindi amekuwa siyo mwanamziki tena bali socialite. Watu wanafatilia sana maisha yake na familia yake kuliko mziki ajitathimin upya maana hali itazid kuwa mbaya zaidi. Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
Mchawi wewe sio bure si ajabu huna kaziNdo shid yet wabongo mtu akisema ukwel anakuwa mchawi..
Sijui hapa napo watasemaje kwani hamna tofauti ya venue anazofanyia davido na diamond , mimi mwenyewe baada ya kuona huu uzi nikaenda kuangalia post za show zake mbona naona zimejaa na nahisi baada ya kumaliza show yake ya mwisho July 22 ataziweka show zake zote YouTube. Alafu Diamond sio wa kwanza kumuacha mke wake, Jordan yule aliachana na mke wake aliyekuwa naye kwa muda mrefu na wakagawana mali, lkn leo hii Jordan ni bilionea. Tatizo mshakariri nyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke, wengine mwanamke huyo ni mama yake mzazi.
Kwani hiyo show kafanya nani? Nakafanya kwenye venue gani?Mjiongezege basi.. myache kujitia aibu jamani eeeeeh
Hiyo ilikuwa sio ya 30bn.. si mkasome caption yake instagram pia au..
Msiwe wabishi eti mnafananisha kama hao wasafi wanaojipooza huku wanajua wapo nyuma yake kwa maili nyingi sana sanaaa