This time Tunawaloga
i believe too
Watafika tu na nongwa zao🤣Kitu kipyaaaa sasa waje kuharibu na huku
Tutawatupia mapepo shenzi kabisa 🤣Watafika tu na nongwa zao🤣
Jana nilikutana na dada mmoja pic Kali sana,sijui kwa Nini nikasema huyu ni lazima ni Missy Gf😅😅😅Tutawatupia mapepo shenzi kabisa 🤣
Wapi huko na weweJana nilikutana na dada mmoja pic Kali sana,sijui kwa Nini nikasema huyu ni lazima ni Missy Gf😅😅😅
🤣🤣🤣🤣Nilikuwa Goba huko,hata sijui niliwaza Nini,,,,kidada kizuri hichooooWapi huko na wewe
🤣🤣🤣 Jana nilikuwa msibani aisee Kuna shogaangu kafariki aisee nmeumiaa 😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣Nilikuwa Goba huko,hata sijui niliwaza Nini,,,,kidada kizuri hichoooo
Aaaaah Mpwa punguza makasiriko basi😅Huu uzi utaharibika siyo muda yatajaa yale matoto ya hovyo yanayopenda kuitana sijui cuzzo, my wiii halafu hayatumi chochote zaidi zaidi ya kujadili maisha yao binafsi 24/7/365. Yamevuruga zile nyuzi za Selfika, Umevaa nini zimekuwa kama kijiwe cha kahawa. Hovyo kabisa....
Dah poleni sana Kwa kumpoteza,halafu kafariki tarehe ambazo hutakaa usahau yaani🤣🤣🤣 Jana nilikuwa msibani aisee Kuna shogaangu kafariki aisee nmeumiaa 😭😭😭😭
Mguu unafaa kuvalia kinjunga!
Yaani halafu ghafla tu mwana hajaumwa kabisa bora angeumwa tukauguzaDah poleni sana Kwa kumpoteza,halafu kafariki tarehe ambazo hutakaa usahau yaani
Dont drink and drive.