Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Bro nimesha ku approach Mara kibao, nipe deal hata ya kuosha maiti.Huna sababu umelala,jongea hapa kijiweni tukabe watu.
"Kuosha maiti"...Bro nimesha ku approach Mara kibao, nipe deal hata ya kuosha maiti.
We nipe connection, Afu mbona una jihami 🙄😃🤣"Kuosha maiti"...
So,am I a killer,murderer or what?
au namiliki mortuary?
🤣We nipe connection, Afu mbona una jihami 🙄😃🤣
Hii nimekupatia kijana.Huna sababu umelala,jongea hapa kijiweni tukabe watu.
Shida una provoke Sana, mtu anapo sema- learn to feel a little sympathy.🤣
Hii nimekupatia kijana.
Relax kid,maisha ni kujitoa muhanga,uisogope ...Shida una provoke Sana, mtu anapo sema- learn to feel a little sympathy.
👉Sio kuleta disaster katika maisha ya mtu, so una taka nikafe🙄🤒
Sometimes when I listen to brothers of your kind, spitting nonsense.Relax kid,maisha ni kujitoa muhanga,uisogope ...
Ila ukiona unaogopa bhas hujafika hiyo level 🤣.
(No airbag ukufe like a soldier)
🤣
Shida una provoke Sana, mtu anapo sema- learn to feel a little sympathy.
👉Sio kuleta disaster katika maisha ya mtu, so una taka nikafe🙄🤒
Unaendeleza chokochoko na kejeli,aya nipatie kazi mimi sasa😎Sometimes when I listen to brothers of your kind, spitting nonsense.
👉Nawaza generation hii hatuna bahati, coz mnacho jua ni kutema garbage kutoka mdomoni 🤒
Jobless niitoe wapi Glock 30, akati kula tu naunga unga.Last week ulikuwa unaongelea Glock 30 na unahofia kuaga dunia ,ulikuwa unaongea habari za movie kumbe na hata taser tu hujatumia.🤣
Unaendeleza chokochoko na kejeli,aya nipatie kazi mimi sasa😎
Wazo la ukibaka ni zuri sana,ila tatizo unahofia.Jobless niitoe wapi Glock 30, akati kula tu naunga unga.
Ninge kuwa boxer ninge pigana heavy weightWazo la ukibaka ni zuri sana,ila tatizo unahofia.
Una uzito gani? I mean kilo?
Hii sawa✅
Aisee!
Kumbe hayo ndiyo yanayofanyika baa?😀
Ulozi tena?
Mkuu, usiwe unatuwekea vitu kama hivi. Wengine hatujavizoea.