Wakuu muwe makini barabarani.
Leo nime pita sehemu kilicho nisaidia ni kufunga mdomo wangu.(wamme nipiga kikumbo)
👉Wame niangalia mnoo, nili tamani kusema kitu- ila Nika chill tu.
👉Wana sura chafu, kutokeza upande wa pili Jamaa ana vuja damu kwenye gari (maeneo ya store fulani hivi).
Nime ishia kuita msaada na kutokomea zangu, masuala ya ushahidi nawa achia viherehere.
👉Wasije kuwa na team yao ya kushughulika na macho kuona