WA MAMNDENII JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 344 Reaction score 58 Jan 25, 2023 #1 Habari wadau, Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase. Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo ili nifanye maamuzi mujarab
Habari wadau, Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase. Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo ili nifanye maamuzi mujarab