INAUZWA Showcase kubwa milango mitano inauzwa 280k

INAUZWA Showcase kubwa milango mitano inauzwa 280k

jooohs

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
2,524
Reaction score
10,287
Hii hapa showcase kubwa futi 7 pia unaweza tumia kama kabati ninaiuza bei ya kutupa 280k
Mahali Goba
Mawasiliano 0745053417

20220526_090033.jpg
20220526_090107.jpg
20220526_085025.jpg
 
Yaani picha sijazielewa kabisa, sijui kapiga kwajuu
Kutokana na changamoto za mbananano wa chumba imeniwia vigumu ila kwa juu ndio liko hivyo, mbele ni hiyo milango ya kabati rangi ya white.
Ngoja nitafute position nyingine nipige
 
Hapana mimi sio dalali ndugu nauza vitu vyangu mwenyewe nahama
Kama ni vyako mbona umepiga picha kama unaogopa?

Kuwa dalali sio dhambi kaka, sema mwambie tu mwenye Mali apige picha vizuri, utamkosesha wateja
 
Kama ni vyako mbona umepiga picha kama unaogopa?

Kuwa dalali sio dhambi kaka, sema mwambie tu mwenye Mali apige picha vizuri, utamkosesha wateja
Ndugu kuwa dalali sio tatizo kabisa ila hii mali ni yangu.
Inanipa tu shida kuligeuza maana ni refu kidogo.
20220529_092515.jpg
20220529_092541.jpg
 
Niuzie hiyo brenda..pia kama una kitanda cha 5x6 niuzie.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom