INAUZWA showcase ya aluminum na mashine ya tofali iliyotumika.

INAUZWA showcase ya aluminum na mashine ya tofali iliyotumika.

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
show case hii kwa fundi wanauza 350,000/= mimi nauza 180,000/= ukubwa wake ni futi moja na robo kwa futi sita ina kasoro kama zinavyoonekana lakini ikiwekwa gundi itafanya kazi vizuri kabisa ipo DSM, Pugu kajiungeni piga 0713683422

mashine ya tofali ni ile ya zamani aka BAMBAM ni chuma cha uhakika ni ya tofali za nchi sita inahitaji service ya kawaida ipige kazi bei ni sh laki mbili dukani inakwenda mpaka laki sita. ipo Pugu kajiungeni DSM piga 0713683422
2018-11-25 10.18.10.jpg

mashine ya tofali ni ile ya zamani
 
Attachments

  • 2018-11-25 10.19.57.jpg
    2018-11-25 10.19.57.jpg
    118.2 KB · Views: 45
  • 2018-11-25 10.21.59.jpg
    2018-11-25 10.21.59.jpg
    254.2 KB · Views: 43
  • 2018-11-25 10.22.35.jpg
    2018-11-25 10.22.35.jpg
    253.1 KB · Views: 43
  • 2018-11-25 10.23.17.jpg
    2018-11-25 10.23.17.jpg
    241.3 KB · Views: 40
  • 2018-11-25 10.23.17.jpg
    2018-11-25 10.23.17.jpg
    241.3 KB · Views: 40
Naona vyuma vimekza umeanza kuuza na screpa ulzokuwa umetunza stoo.
 
show case hii kwa fundi wanauza 350,000/= mimi nauza 180,000/= ukubwa wake ni futi moja na robo kwa futi sita ina kasoro kama zinavyoonekana lakini ikiwekwa gundi itafanya kazi vizuri kabisa ipo DSM, Pugu kajiungeni piga 0713683422

mashine ya tofali ni ile ya zamani aka BAMBAM ni chuma cha uhakika ni ya tofali za nchi sita inahitaji service ya kawaida ipige kazi bei ni sh laki mbili dukani inakwenda mpaka laki sita. ipo Pugu kajiungeni DSM piga 0713683422
View attachment 945558

mashine ya tofali ni ile ya zamani
Hicho kioo kinahitaji kuwekwa kingine upya, ikifika sh 12000.00 ni pm
 
Back
Top Bottom