Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 295
- 313
Laki 3 na nusu tu bossHata kama znahamishika ndo milion 2 kwel boss?
Laki 3 na nusu bossKwa milioni mbili umeenda parefu mno.
Laki 3 na nusu bossKwa bei iyo mtihani.
Kazi ni kipimo cha utu
YaniπHiyo Milion 2 nmeiona wapi ? Mbona Mimi sijaandika sehemu kusema ni milioni 2. π€£π€£
Ndo ukiweka biashara uweke na bei, Waafrika wanamambo ya ajabu kwelHiyo Milion 2 nmeiona wapi ? Mbona Mimi sijaandika sehemu kusema ni milioni 2. π€£π€£
Uko wapi ?showcase za kuhamishika..
boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako..
seble yako inakuwa π₯π₯
boss wangu ww jiamulie mambo tuπ kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako..
tupo dar mbagala 0692477610
Unapatikana wapiNipe kazi ya kibarua mkuu
Nipo dar mbagala bossUko wapi ?
Sawa boss nitaweka kwenye postNdo ukiweka biashara uweke na bei, Waafrika wanamambo ya ajabu kwel