Shroud of Turin: Real or Fake?


mh, Kanisa imeipa hii kitu kipaumbele sana. Kwanza imekataza wana sayansi kuifanyia kazi kwa kusudi la kujua ukweli wake. Soma historia yake, utaelewa.


samahani mh. Sijaona ni sehemu gani katika posts zangu nilipoji-contradict! fafanua zaidi.
Huyo aliyeshindwa kuona kipaumbele iliyopewa na kanisa, sina msaada zaidi. Iko hapo kwenye post ya Ab-Titchaz, na anaweza kusoma zaidi.
Naamini kuwa kanisa kwa wakati mwingine linashindwa kuweka mwelekeo wake sawa sawa. Linajaribu kushinda kwa kucheza rafu. Lakini cha muhimu ni kuweka haya mambo wazi.
 

Na mimi sina cha kukusaidia maana hata hujui neno kipaumbele lina maana gani. Hicho kipande cha Shroud kinachohifadhiwa wala hakitumiki kwenye ibada yeyote na inashangaza kusema eti kanisa linakipa kipaumbele! Kipaumbele kipi..hujajibu unaishia kuweweseka.

Halafu unadai KANISA linashindwa kuweka mwelekeo, nadhani wewe ndio huna muelekeo na uelewa wako ni duni mno. Hao wanaoikumbatia dhana kuwa Shroud ni halisi ni baadhi ya wakristu wanaopenda kuamini hivyo na ni ukosefu wa busara kulisingizia KANISA zima kwa matendo ya watu hao. Hii ndio kawaida ya maadui wa kanisa katoliki, kosa likifanywa na mtu mmoja linabebeshwa kanisa zima! Huku ni kuishiwa hoja na kuleta vioja.

Ikumbukwe kuwa ile item ya kihistoria, na kanisa pia linao wataalamu wake, na kama wanaihifadhi shroud wanazo sababu za msingi za kufanya hivyo. Hata hivyo wanayo total command maana ipo chini ya himaya yao.
 

hahaha. sikumbuki kukuomba msaada! Na kipaumbele haina maana ya kutumika kwenye ibada. It seems wewe ndo mwenye narrow interpretation ya neno kipaumbele. Kukipa kitu kipaumbele can mean kukitunza kwa umakini - eg: kunyima access kwa wanasayansi. Again, unaonyesha fikra duni kwa ku-imply kanisa = wakristo wote. Sijatumia neno wakristo kwa sababu muhimu. Nilitaka ku-separate hivi viwili. Again, fikra duni zako zina-equate kanisa to ukristo. And note: hii ni kanisa with a small k. Hivyo wewe ndo umeamka na kudhani nina criticise Catholism. Pole sana. Sina msaada zaidi kwa kuwa na fikra duni!

Just a side note in relation to equating the actions of some to the church: Leo Pope akisema wakatoliki wasitumie rozari, je mtakubali?
 
Kwa wale waliodai kuwa hii myth imekuwa debunk, plz correct your statement. Tusiwe waongo na watu wa ku-mislead facts:

 
hahaha. sikumbuki kukuomba msaada!
Huyo aliyeshindwa kuona kipaumbele iliyopewa na kanisa, sina msaada zaidi.

Watu wengine bana ..kujitiatia tu..Sasa na wewe hapo juu(reddish) nani alikuomba msaada? Mwe!


Na kipaumbele haina maana ya kutumika kwenye ibada.

Na sijasema hivyo hiyo poor logic kutoka kwako kama nilivyotegema.

It seems wewe ndo mwenye narrow interpretation ya neno kipaumbele. Kukipa kitu kipaumbele can mean kukitunza kwa umakini - eg: kunyima access kwa wanasayansi.

Labda jaribu kupunguza pumba kwa kusoma hiyo shroud ilifikaje mikononi mwa wakatoliki wa huko Torino. Na fuatilia kidogo kujua carbon dating iliofanyika mwaka 1988 samples za kupelekwa maabara zilipatikanaje bila ya ruhusa ya kanisa katoliki (nadhani ujinga sio kosa kosa ni upumbavu). Pia jaribu kutafuta sababu za wao kuzuia further sampling kutoka kwa hiyo shroud. Nachelea kupigizana kelele na mtu asiye na insight na ishu zaidi ya kuwa na wahka na munkari wa kudandia treni la India kwa mbele.

Again, unaonyesha fikra duni kwa ku-imply kanisa = wakristo wote.

SIjui hii umeipata wapi. Nadhani una matatizo ya hysteria, mwezi mchanga, 'kuona vitu' au mvurugiko wa mawazo au vyote kwa pamoja.


Sina cha kukomenti hapa, maana sioni la maana.

Just a side note in relation to equating the actions of some to the church: Leo Pope akisema wakatoliki wasitumie rozari, je mtakubali?

Unfortunately, bado unaweweseka. Mimi ni mtu mmoja hivyo unapouliza swali uliza ktk umoja.
 

hahaha
naona umejitahidi. Lakini bado, Jaribu tena...
 

I just have one question. Whether the shroud is authentic or not how does that prove that Jesus is or isn't God? Ni kama vile una jaribu kuchomeka kitu ambacho hakipo. Na wewe unahimiza wenzio wasisite kubadilisha imani kwa nini wewe usibadilishe imani yako?
 
Nadhani ujumbe umekufikia tayari popote ulipo, hii dozi kama utameza sasa hivi au baadae hiyo ni juu yako!

bado unaendelea kujihangaisha! Duh. Nakupa pole. Soma threads vizuri. nadhani utaelewa...
Jaribu tena ehh....Usilie
 
bado unaendelea kujihangaisha! Duh. Nakupa pole. Soma threads vizuri. nadhani utaelewa...
Jaribu tena ehh....Usilie

Sina haja ya kusoma thread ili kuelewa habari ya hii Shroud, naijua kitambo sana hii ishu. Labda wewe kama ndio unaioana leo. Na ndio maana nipo hapa kurekebisha upotofu wa watu kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Sina haja ya kusoma thread ili kuelewa habari ya hii Shroud, naijua kitambo sana hii ishu. Labda wewe kama ndio unaioana leo. Na ndio maana nipo hapa kurekebisha upotofu wa watu kama wewe.

bado unaendelea tu...duh! Kweli ukweli unauma. Na matusi juu...hahahaha! Endelea tu kupigana na keyboard. Actions za watu zinaonyesha nani ni mpumbavu!! They say action speak louder than words. Nadhani kama una akili yeyote utaweza ku-add up na kujua maana yangu...endelea kuumiza vidole...lol
 

Naendelea na nini? Hivi ni ukweli upi umeuleta so far? Unaweza kunikumbusha? (Ukishindwa utakuwa unazidi kudhihirisha upumbavu wako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…