Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kwenye bajeti ya mapato ya waziri wa fedha hizi fedha hazijaonyeshwa zimeingia katika fungu lipi ambazo ni shs 31,821,700,000 za vitambulisho vya machinga wapatao 1,592,085 na mabilioni ya DPP yaliyokusanywa kwa waliokiri kutakatisha fedha na kukubaliana kulipa mamilioni ya shilingi ambayo hayajawekwa wazi mpaka sasa ni kiasi gani kilipatikana.
Licha ya hayo haijaonekana imeingia kwenye vitabu gani vya serikali. Na jana eais hakusema zilienda wapi.
Naomba kujua hizi pesa ziko wapi na katima vitabu vipi
Licha ya hayo haijaonekana imeingia kwenye vitabu gani vya serikali. Na jana eais hakusema zilienda wapi.
Naomba kujua hizi pesa ziko wapi na katima vitabu vipi